Mwaka 2016 ndio unamalizika na
haina neno kufanya hesabu ya vitu mbalimbali kwenye rekodi za mwaka huu
mzima ambapo leo December 31 2016 nimekutana na list ya magari mapya
yaliyotoka mwaka 2016 na yamekuwa na mvuto zaidi. Nimekuwekea picha zake
hapa chini.
Jaguar XKSSBugatti Chiron
McLaren 540C
Alfa Romeo 4C Spider
Ford Mustang GT Fastback
Ferrari GTC4Lusso
Audi R8 Spyder
BMW M2
Tesla Model X
BMW 7 Series
0 comments:
Post a Comment