ZURICH,
SWITZERLAND - OCTOBER 20: FIFA World Cup Trophy is presented after the
FIFA Executive Committee Meeting on October 20, 2011 in Zurich,
Switzerland. During this third meeting of the year, held on two days,
the FIFA Executive Committee will approve the match schedules for the
FIFA Confederations Cup Brazil 2013 and the 2014 FIFA World Cup Brazil.
(Photo by Harold Cunningham/Getty Images)
Denis Massawe Maisha ya burudani yametawaliwa na raha ya kutazama mpira wa miguu,
England wanasifika ndio waanzilishi wa mchezo huu haswa ukizingatia 90%
duniani kote hupenda mchezo wa soka, kuangalia ama kuucheza.
Baada ya mchezo huu kututeka
wengi sasa kuna waanzilishi mbalimbali wa mchezo huu, lakini ukiwataja
waanzilishi huwezi kuwaacha wagunduzi wa michuano mbalimbali ambayo
imewapa umaarufu watu wengi sana.Hivi unamjua Silvio Gazzaniga ?.
Silvio Gazzaniga moja ya watu
muhimu katika ulingo wetu wa michezo alizaliwa mwaka Januari 23 mwaka
1921 katika mji maarufu wa Milan, Italia amefariki Octoba 31 mwaka 2016
akiwa na miaka 95. Aliwahi kufanya kazi Kombe la Dunia FIFA, UEFA Super
Cup na UEFA .
Alilitengeneza tena ‘Desing’
kombe dunia mwaka 1971baada ya hapo mfumo wa kulitembeza kombe hilo
umeanza na limepita katila mikono mingi ya watu maarufu kwa kulibeba na
ilitokana na Brazil kulichukua kombe hilo mara 3 hivyo iliazimishwa
kutengenzwa lingine. Licha ya hapo pia makombe mengi ambayo ameweza kuya
‘Design’ Uefa, UEFA Super Cup, ba jina la utani likawa ‘Mr Cup’.
0 comments:
Post a Comment