Monday, 31 October 2016

YAYA TOURE AIKOMBOA AFRIKA KWENYE AIBU NZITO

Yaya Toure ameikomboa Afrika kutoka kwenye umbwe la aibu baada ya kuingia kwenye list ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi duniani ikiwa yeye pekee ndiyo mwafrika aliengia kwenye idadi hiyo. 

Huku staa wa kimataifa kutoka Wales anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Gareth Bale ameingia katika TOP 3 ya wachezaji wa soka wanaolipwa pesa ndefu zaidi duniani ambapo ameingia katika list hiyo kutokana na mkataba wake mpya na Real Madrid.
39a6015b00000578-3889532-gareth_bale_has_put_pen_to_paper_on_a_new_deal_keeping_him_at_re-a-15_1477915544208
Gareth Bale
Kwa sasa Bale atakuwa akilipwa pound 346,000 kwa wiki ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 900 ambapo katika kipindi cha miaka sita Bale atakuwa kaingiza jumla ya pound milioni 108.
MANCHESTER, ENGLAND - MAY 24: Yaya Toure of Manchester City applauds supporters as he is replaced during the Barclays Premier League match between Manchester City and Southampton at Etihad Stadium on May 24, 2015 in Manchester, England. (Photo by Shaun Botterill/Getty Images)
Yaya Toure
Bale sasa anakuwa katika TOP 3 hiyo wakati kwa wachezaji wa Afrika, kiungo wa Man City na raia wa Ivory Coast Yaya Toure yupo nafasi ya 10 katika list ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa duniani licha ya kuwa yupo katika wakati mgumu wa kujua hatma yake chini ya Guardiola.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive