
Staa wa muziki kutoka Marekani Ray J amefunguka juu ya tetesi kuwa amemtongoza mtoto wa rais Barack Obama ‘Malia Obama‘.
Ray J ameweka video online akisema “Sijapenda kinachoongelewa kuhusu mimi,niko nyumbani na familia yangu nasikia eti nimemtafuta mtoto wa Obama kwenye Dm yake, kwanini kila siku mnataka kunishusha, niko positive sana kwenye maisha yangu, nategemea kufunga ndoa ijumaa hii sina time na mambo hayo“.
Msemaji wa Ray J naye alisema Ray anategemea kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Princess Love
0 comments:
Post a Comment