Friday, 12 August 2016

Barack Obama ataja nyimbo anazopenda kusikiliza


Rais wa Marekani Barack Obama ametaja rekodi anazosikiliza kwa sasa wasanii kama Jay Z, Nas, Wale Prince, Miles Davis, D’Angelo.

Nyimbo ya Wale “LoveHate Thing”, Janelle MonĂ¡e  “Tightrope”,Jidenna “Classic Man” ,Jay Z na Pharrell “So Ambitious”,Common “Forever Begins ”Aloe Blacc “The Man ” ,Nas na Damian “Jr. Gong”, Marley “As We Enter,”na Prince “U Got the Look.”

Akiwa kwenye mapumziko Obama anasikiliza nyimbo za wasanii kama D’Angelo “Lady,” Mary J. Blige/Method Man “I’ll Be There for You/You’re All I Need,” , Chance the Rapper “Acid Rain.” Janet Jackson, Miles Davis, na Anthony Hamilton.
Rais hutoa nyimbo anazosikiliza zaidi kila mwanzo na mwisho wa mwaka.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive