Msanii wa lebo ya Rick Ross ‘Maybach Music Group’ Meek Mill ambaye
kwa sasa yupo kwenye beef na rapa Drake amefanikiwa kufikisha kopi
milioni moja ya mauzo kwenye wimbo aliofanya na hasimu wake huyo.
Collabo ya Meek Mill na Drake “R.I.C.O.” imefikisha mauzo milioni
moja na kutangazwa kuwa Platnum Single. Wimbo huu ulitoka mwaka 2015
Hivi karibuni mtu wa karibu na mwalimu wa muziki wa Drake ‘Jas Prince’ alisema beef ya Drake na Meek inakaribia kuisha.
0 comments:
Post a Comment