Friday, 19 August 2016

KAVA LA ALBUM YA THE GAME 1992 LIMETOKA LIKIWA NA HISTORIA YA MAISHA YAKE

By  Denis massawe
Rapa The Game ametoa kava la album yake iliyopewa jina ‘1992’, kava limetengenezwa na msanii Joe Cool.
Kava hili linaelezea mambo yaliyotokea duniani wakati The Game ana mwaka mmoja mpaka alipofikisha miaka 12. Picha ya kava inaongelea maisha ya fujo kati ya makundi mawili ya vijana nchini Marekani ya “Crips Na Bloods”  Los Angeles.
Album ya 1992 inatoka Sept. 30
game-1992
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive