Home »
» PARIS AZUNGUMZIA REKODI MPYA YA MICHAEL JACKSON ILIOVUNJWA NA KANYE WEST
By brown Mgeni
Baada ya rapa Kanye West kuvunja rekodi ya kuwa na nyimbo sawa na Michael Jackson ‘39‘ kwenye chati ya Top 40, amekuwa akiandamwa na maneno ya kupondwa kuwa hawezi kuvaa viatu vya Michael kwenye muziki.
Wimbo wa Schoolboy Q Ft Kanye West “THat Part” umepanda chati kutoka namba 42-40 na kumpa rekodi hio Kanye.
Mtoto wa Micheal Jackson ‘Paris‘ amesema “Mtu
akivunja rekodi tuwe na raha, wamefanya kazi sana kufikia hapo,tusiwe
na hasira na wivu, muziki ni muziki ,kama ni mzuri unastahili kupewa
heshima yake”
0 comments:
Post a Comment