By Ally Yusuph

Rapa Meek Mill na mpenzi wake
Nicki Minaj wamezima uvumi kuwa wametengana kwa kutangaza rasmi kuhamia
kwenye nyumba moja huko Beverly Hills.
Kwa mujibu wa TMZ,nyumba hii kwenye mitaa ya matajiri itawagharimu
dola $30,000 kwa mwezi, Mpaka sasa nimepata taarifa kuwa nyumba hio ina
vyumba 9 ,mabafu 8 ,sehemu ya kuegesha amagari matano.Meek Mill na Nicki Minaj walikuwa na mpango wa kuhamia pamoja mjini Los Angeles kabla Meek hajafungwa kifungo cha ndani.
Meek anaelekea kutoa mixtape yake ya DC4

0 comments:
Post a Comment