Monday, 25 April 2016

Picha,Diamond Platnumz na P Sqaure wanafanya video Afrika Kusini.



P Square wamethibitisha kufanya video nchini Afrika kusini ila mpaka sasa haijulikani kama ni video ya wimbo waliofanya na Daimond Platnumz.
Paul Okoye ambaye ni RudebOySquare aliandika hivi baada ya kupost picha
Dunno what we doing but we definatly having fun in jo’burg,” Paul aliandika kwenye ya picha aliyopost awali
Peter ambaye ni Mr P alitumia ujumbe huu kwenye picha zake “We run thinz… Thinz don’t run we!! #killingIt #AllBlack #koolestDudes“.
12940912_1799083410377084_825748254_n 12965054_102167463527714_8863970_n 13102389_233124867043648_1587712079_n 13102417_221075748268054_702599398_n
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive