Album ya LEMONADE ina nyimbo 12 na msanii The-Dream ametajwa kuhusika kwenye kuandika wimbo wa “6 Inch,” Ft The Weeknd.
Jina lililoshtua wengi ni jina la SOULJA BOY aka Deandre Way amabaye yeye katajwa kuandika wimbo “Hold Up” uliotayarishwa na Diplo na kuwekewa baadhi ya ladha za wimbo wa Soulja Boy “Turn My Swag On.”
Wasanii wengine waliohusika ni pamoja na Andre 3000, Big Boi ,Just Blaze,Kendrick Lamar.
0 comments:
Post a Comment