CEO Wa lebel ya Cash Money Birdman
ameomba radhi kwa watangazaji wa The Breakfast Club ambao ni Charlamagne
Tha God, DJ Envy na Angela Yee.
Dj Envy amesema “Nimeongea na Birdman na ameomba radhi na yupo tayari kurudi kwenye show,”Charlamagne Tha God amesema yeye yuko powa na hana tatizo na Birdman,
0 comments:
Post a Comment