Monday, 25 April 2016

P Square waonyesha mapenzi kwa kaka yao Jude Okoye.



Paul Okoye wa P Sqaure amemtakia siku njema ya kuzaliwa kaka yake Jude Okoye huku akimwita  “Best Manager“.
Peter Okoye naye aliandika kwneye insta yake “Happy Big Birthday to @judeengees ,a big brother, a big boss and the best manager😎👍👌…always there at da beginning till date, guiding and directing us, from nothing till we became something, from nobody till we became somebody, may God continue to protect you bro🙏 like we always say, you re the Psquare people don’t know, because you always work behind the stage😎 have blast🎉🎂🍻 Blood
Awali mwaka huu palikuwa na drama kubwa kati ya Peter na Paul kuhusu usimamizi wa kaka yao Jude na kundi la  P Sqaure huku Peter akiponda uongozi mbovu wa Jude kwenye kundi hilo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive