Friday 15 September 2017

TOP 3: VYAKULA HIVI NI MUHIMU UPATE KILA SIKU

Kuishi kwa afya kunahitaji ufahamu mpana juu ya aina za vyakula vya kula, kiasi na wakati gani wa kula na mambo mengine yanayoendana na hayo. Wataalamu wameshauri kuwa mtu kuwa na afya njema ni vizuri azingatie kula angalau moja kati ya vyakula hivi vitatu kila siku
Mayai
Mayai ni chakula chenye protini nyingi inayohitajika sana mwilini lakini pia chakuka hiki kina utajiri mkubwa wa vitamini nyingi ambazo huuongezea mwili nguvu pamoja na kinga. Mayai yana madini ya chuma na zinki ambayo yanaripotiwa kuwa ya muhimu sana kwa afya ya wanawake.
Image result for eggs
Karanga
Kundi la karanga huhusisha pia vyakula kama nazi, korosho na vinginevyo vya aina hiyo. Karanga kuupa mwili asilimia 90 ya virutubisho vya mafuta ya omega 3 ambayo yanashauriwa kuingia mwilini kila siku. Pia huupa mwili nguvu na kupunguza shinikizo la damu, kupunguza hatari za magonjwa ya kiharusi na saratani.
Image result for nuts
Spinach
Mbona za majani kwa ujumla hubeba virutubisho muhimu sana. Hatahivyo mboga aina ya spinach inatajwa kuwa na madini ya chuma ambayo huipa misuli nguvu pamoja na kuondoa unyong’onyevu wa mwili. Pia huondoa tatizo la uchovu wa macho.
Image result for spinach
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive