Floyd Mayweather haishi mbwembwe, maana mara nyingi huonyesha fedha alizonazo.
Lakini safari hii ameamua kuonyesha jumba lake la kifahari lililopo jijini Las vegas nchini Marekani.
Jumla hilo lenye thamani ya pauni milioni 18.7 lina karibu kila kitu ambacho mtu angependa kufurahia maisha.
Jumba
hilo lina vyumba sita vya kulala lakini bwawa la kuogelea, ofisi,
ukumbi wa sinema, baa na lina eneo kubwa la kuegesha magari.
0 comments:
Post a Comment