Thursday, 28 September 2017

HIVI NDIVYO JINSI UNAWEZA KUPAMBANA NA KUZUIYA UCHAFU MASIKIONI

Usafi wa sikio ni moja kati ya mambo yasiyozingatiwa na wengi kama ni jambo la umuhimu kufanywa kila siku,wengi wanakuja kujua mara baada ya nta kuwa nyingi masikioni.

Kuna njia mbalimbali za kusafisha masikio, hasa baadhi ya vitu vinapatikana katika maduka ya
madawa,kwa sasa nitakuonyesha njia bora zaidi yenye ufanisi ambayo unaweza kuifanya hapo nyumbani kwako na kuleta matokeo bora zaidi.

Mchanganyiko huu ni wa asili kabisa,unachukua vinegar nyeupe na pombe ya rubbing.
Pombe ya rubbing imethibitishwa kutokomeza asilimia 85 ya ya bacteria wanaoweza kuleta maambukizi katika sikio lako na hutoa uchafu wote

Vinegar nyeupe ni antibiotic nzuri kabisa inayoweza kudhibiti maambukizi yeyote yale katika sehemu ya ndani ya sikio lako.
Mchanganyiko wa hivi vitu viwili vinapambana na maambukizi, kutoa uchafu wote na haviwezi kukuletea maumivu yeyote katika mwili wako

Inapendekezwa katika maambukizi na uchafu wa wastani katika sikio lako,kama una maambukizi makubwa zaidi wasiliana na daktari kwa vipimo zaidi
Share:

1 comment:

  1. mm kiufupi sijaelewa huo mchanganyiko na hvy vifaa vyake coz mm mwenyewe hapa nilipo nasumbuliwa na sikio nawezaje kuupata msaada wako kupitia maelezo uliyoyatoa hapa

    ReplyDelete

Ads

Blog Archive