Mtanzania
Simon Msuva alikuwa mmoja wa Watanzania waliopata nafasi ya
kutambulisha jezi za ugenini za klabu ya Difaa Al Jadid ya Morocco.
Mtanzania huyo aliungana na wachezaji wengine wawili kufanya utambulisho huo akionekana kuwa ni sehemu ya chaguo.
0 comments:
Post a Comment