Tuesday, 29 August 2017

MH NAPE NNAUYE ATOA KAULI


Image result for nape nnauye


Mbunge wa Mtama, Mhe. Nape Mosses Nauye amefunguka na kudai mtu kuwa na mawazo tofauti  au kuwa (upinzani)  siyo uadui na kutaka watu washindane kwa hoja.


Kupitia ukurasa wake wa twitter Mhe. Nauye aliweka maneno hayo akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe Zitto Zuberi Kabwe ambaye anawakilisha Chama Cha ACT wazalendo.

"Wapinzani sio maadui, tushindane kwa hoja! Mh. Nauye.

Hata hivyo watumiaji wa mtandao huo wengi wametoa mawazo tofauti huku wengine wakimsifu Nape kwa ujasiri aliounyesha kwa kusema hayo akiwa ndani CCM na wengine wakidai kupingana kwa hoja hakuwezekani.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive