Saturday 29 July 2017

MWANJALE NAHODHA MPYA WA SIMBA



Image result for mwanjali wa simba

Kocha wa Simba, Joseph Omog ameteua beki wa kimataifa Mzimbabwe Method Mwanjale kuwa nahodha mpya akichukua nafasi ya kiungo Jonas Mkude.
Mwanjale atasaidiwa na mchezaji bora wa Ligi Kuu na klabu ya Simba kwa msimu uliopita, beki Mohammed Hussein 'Tshabalal' na pamoja na nahodha wa zamani wa Azam, John Bocco
Kocha msaidizi wa Simba, Jackson Mayanja amekiri kuwepo kwa mabadiliko hayo na kudai kuwa yataleta chachu ndani ya kikosi hicho.
"Ni kweli tuna mabadiliko yamefanyika kwa kuzingatia mambo muhimu na kuhusu maandalizi yetu yanaendel3a vizuri kama yalivyopangwa. " alisema Mayanga.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive