Tuesday 18 July 2017

MAKOMBO YA YANGA YAITESA SIMBA MBELE YA MBEYA CITY




Kiungo wa zamani wa Yanga na Coastal Union, Bakari Masoud ambaye ilionekana atasaini Simba, ametua Mbeya City.

Masoud amejiunga Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili na tayari kuanza kazi mara moja.

Kiungo huyo aliyeanza kuonekana Yanga, aliichezea Simba katika michuano ya Kombe la SportPesa Super Cup.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive