Sunday 1 January 2017

LADY JAY DEE, ALIKIBA NA BARAKA THE PRINCE WAUTEKA MTANDAO WA MKITO



Mtandao wa kuuza nyimbo za muziki nchini Mkito.Com, umetoa list ya nyimbo 5 za wasanii wa muziki nchini ambazo zimepakuliwa zaidi kupitia mtandao huo ndani ya mwaka 2016.

Mtandao huo umepost hiyo picha (hapo juu) kupitia twitter na kuandika:

Tunapofunga mwaka, hizi ni baadhi ya ngoma zilizowavutia wengi kwa mwaka 2016. Hebu tutajie zako tano ulizozikubali zaidi mwaka huu.

Kwa upande menaja wa Alikiba na Barakah The Prince, Seven Mosha baada ya kuona taarifa hiyo ametweet:

Most downloaded @JideJaydee @BarakaThePrince @OfficialAliKiba 

Mtandao huo kwa sasa ni mmoja kati ya mitandao mikubwa nchini Tanzania ambayo inategemewa na wasanii
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive