Muimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo
January 06 2017 ametumia ukurasa wake wa instagram kueleza mpango wake
wa kuanza tour ya muziki nje ya nchi. Alikiba amesema kwa mwaka 2017
ataanza na Afrika kusini.
Post hiyo
pia ilisindikizwa na maneno yaliyoashiria kuwa Alikiba ana mpango wa
kufanya Tour kwenye mataifa mengi nje ya Afrika kwa mwaka 2017, kwa hiyo
tutarejea atataja nchi nyingine ambazo atafanya tour hivi karibuni.
Manager wa Alikiba pia, Seven Mosha alipost kuhusu tour hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram
0 comments:
Post a Comment