Home »
BURUDANI
» FUNGA MWAKA YA ALIKIBA ILIVYOLETA MAFURIKO MOMBASA (PICHA+)
Hitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini Mombasa, Kenya
ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017.
Show hiyo ilihudhuriwa na mashabiki lukuki wa mji huo na sehemu nyingine tofauti tofauti.
Tazama picha zaidi hapa chini:-
0 comments:
Post a Comment