
Mwaka 2017 staa wa BongoFlava Alikiba ameamua
kuuanza kwa kufanya tour ya muziki kwenye mataifa mbalimbali duniani
kama alivyotangaza kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Hapa
nimekusogezea ratiba ya tour akazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo
ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam
kuanzia June mpaka July 2017

Alikiba ataendelea kutupatia ratiba za tour hii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, lakini pia mimi nitakuwa nakusogezea kila kitu hapa kwenye millardayo.com ili kuhakikisha haupitwi na chochote.
0 comments:
Post a Comment