Thursday, 3 November 2016

KITUKO CHA LEO


nimeenda dukani nikamkuta muuza duka ametinga jezi yake ya yanga basi nikamwambia  anipimie mchele mzuri wa Mbeya, ametoka nje na amefunga duka sijui ameenda kuleta mizani?
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive