Home »
» BARCELONA NA REAL MADRID NI MOTO
DENIS MASSAWE
Wakati tunaenda kuifuata El-Clasico
mwezi ujao lakini ufahamu kuwa mwaka uliopita watu hawa waligawana alama
mara baada ya Barcelona kuifunga mabao 4-0 pale Santiago Bernabeu
ambapo ndio ulikuwa mchezo wa awali kabisa wa mchuano huo mkali,lakini
walipo rudi kule Camp Nou Barcelona wakakubali kichapo cha mabao 2-1.
Wafungaji wa mchezo wa kwanza wakiwa
Neymar, Suarez pamoja na Iniesta kwa shuti kali kabisa, sasa hivi chama
cha soka La Liga kimetangaza kuwa mchezo huo utapigwa Desemba 3 majira
ya saa 12:15 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati.
KIVUTIO
Nawaza muunganiko na mpambano wa Pepe
na Suarez huku Neymar akipigana na ndugu yake Marcelo na BBC ikigombania
magoli na Mascherano, huku Modric akipepetana katikati na Busqueti
utaonaje hapo mchezo utakavyokuwa .
0 comments:
Post a Comment