Home »
» WENYEVITI CUF WATAKA WASALITI KUWAJIBISHWA
WENYEVITI wa wilaya za Unguja wa Chama Cha Wananchi wameitaka CUF kuwawajibisha wanachama ambao wanataka kukivuruga chama hicho.
Wakizungumza na waandishi wa habari
visiwani hapa jana, wenyeviti hao walisema licha ya Baraza Kuu la CUF
kuwawajibisha baadhi ya viongozi, lakini baadhi ya wanachama wanataka
kukivuruga chama hicho.
“Hii ni taasisi hivyo hatuwezi kusema
kuwa waliomo ndani ya CUF wote ni wasafi,” alisema Mashavu Bakari Juma
ambaye ni mwenyekiti wa Wilaya ya Mjini wa chama hicho.
0 comments:
Post a Comment