Muziki unanafasi kubwa sana kwenye maisha ya watu wengi, wacheza soka hawajaachwa nyuma katika hili. Mara nyingi wameonekana wakiwa wamevaa headphones wakiwa wanawasili viwanjani.
Hebu tuangalie ni aina gani ya muziki baadhi yao hupenda kusikiliza:
- David Beckham

Anapenda muziki wa pop. Hiyo inamaanisha ni shabiki wa ustin Bieber, Selena Gomez pamoja na The Jonas Brothers.
2. Lionel Messi

“La Pulga” anapenda muziki unaoitwa cumbia, style hii ya muziki asili yake ni Colombia, na ni maarufu sana kwenye maeneo ya latin America.
3. Mario Gotze

Anapenda muziki unaoimbwa na wasanii kama Justin Bieber, Snoop Dog, Lil’ Wayne na The Black Eyed Peas.
4. Andres Iniesta

Ni shabiki wa Spanish band ‘Estopa’
5. Cristiano Ronaldo

Favourite music & musicians: Phil Collins, George Michael, Elton and Alicia Keys
Muziki na wanamuziki anaowapenda ni: Phil Collins, George Michael, Elton na Alicia Keys.
6. Neymar Jr.

Ni shabiki wa muziki wa Michel Telo
7. Wayne Rooney

Anapenda kusikiliza muziki wa wasanii kama Arctic Monkeys, Bruce Springsteen, Cat Stevens na wengine.
8. Zlatan Ibrahimovic

Anapenda kusikiliza muziki wa Reggae, rock na hip-hop. Ni shabiki mkubwa wa Alpha Blondy.
0 comments:
Post a Comment