By Hussein Kambona

Zlatan Ibrahimovic amefanikiwa
kufunga magoli mwawili kwenye mechi ya Manchester United dhidi ya
Southampton na kuendeleza rekodi yao ya kutooteza mchezo toka Premier
League imeanza.
Paul Pogba aliyesajiliwa kwa pound milioni 89 alicheza vizuri ila hakufanikiwa kuona nyavu.


















0 comments:
Post a Comment