By Denis Massawe

Siku chache kabla ya kuanza ligi ya La
Liga Cristiano Ronaldo ameanza kujitamba mtaani na lile gari lake la
kifahari lenye thamani ya Pound milioni 1.7, gari hii ni Bugatti Veyron.
Ronaldo alijinunulia gari hii kama zawadI, Bugatti Veyron ya Ronaldo ni toleo la 16.4 Grand Sport, ni toleo lenye speed kali sana ya kutoka 0-to-62 mph ndani ya sekunde 2.6.







0 comments:
Post a Comment