Saturday, 13 August 2016

Diamond Platnumz aomba ushauri wa jina la mtoto wake wa kiume.


Bongo fleva super staa Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume na kwamba angependa mashabiki wake watoe mitazamo yao juu ya jina gani ampe mtoto wake.

Mpaka sasa tunafahamu kuwa mwezi Decemba ndio 
Zari atajifungua mtoto huyu wa pili.

Kupitia instagram yake Diamond aliandika hivi… “Looking so sexy, my Beautiful and cute Wife @zarithebosslady???? ????!!!… Please tell what would you like me to name my Upcoming Son?…(Tafadhali niambie Mtoto wangu wa kiume unadhani akija nimwite jina gani…?)
zari 18
zari 12 zari 13 zari 15

PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,uzalendonews.blogspot.com IPO facebook, twitter,pinterest na instagram

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive