Thursday, 28 April 2016

Picha,Birdman anazidi kutaka heshima yake,katoa hizi T Shirt zilizoandikwa ‘Respek’.



Boss wa Cash Money Records aliyetoka kwenye mahojiano ya BreakFast Club hivi karibuni baada ya kuona anachukuliwa powa na hapewi heshima anayotakiwa kupewa ametupia KIKI Hilo kutengeneza T Shirt zilizoandikwa ‘Respek’ neno ambalo yeye alisema akimaanisha RESPECT.
Birdman ametoa T-shirts hizo huku akitangaza ujio wa album yake mpya.
birdman-shirts
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive