Thursday, 28 April 2016

Baba yake Beyonce asema hajawahi kumpiga mwanae.

Baba mzazi wa Beyonce ‘Matthew Knowles’ amekuwa kimya baada ya album ya mtoto wake ya Lemonade kutoka mnamo April 23 ila hivi karibuni ametaka watu wajue kuwa hajawahi kumpiga mtoto wake.
“Naweza kusema sijawahi kumpiga mtoto wangu, siamini kwenye mambo kama hayo” Knowles aliimbia jarida la US.
Baba yake Beyonce pia amesema hajui album mpya ya LEMONADE imemuongelea nani zaidi sababu hawezi kujua mawazo ya Beyonce.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive