Monday, 25 April 2016

D’Banj akanusha kumtimua Totoh Dikeh.


Pamekuwa na uvummi kuhusu msanii wa D’ Banj maarufu kama Totoh Dikeh kutimuliwa kwenye lebel ya D’ Banj hivi karibuni.
Staa huyu ambaye kwa sasa anafanya kazi na Kanye West amekanusha kuwa Totoh Dikeh ametimuliwa na kwamba bado msanii huyu yupo naye.
D’ banj anasema “Totoh ni msanii mkubwa nayaeweza kujiendesha amwenye ila pia kwa sasa analea sababu amejifungua hivi karibuni na yupo na mume wake ndio sababu ya ukimya wake”.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive