Home »
» Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz
Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao
ambapo leo March 22, 2016 Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa
baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid
Benz.
Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu
Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia
ukurasa wake wa instagram na kusema…‘‘Challenge kwako blaza hii ni aibu
sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au
ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..!
Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting
to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’ – Young Dee
Maneno hayo yalionekana kumkwaza Dogo Janja ambaye naye kupitia ukurasa
wake wa instagram naye alipost kile alichokiandika Young Dee na
kusema…’Young Mpengaji… Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka
Totoro..Nawanyima Chakula Mwaka huu Mule Magodoro! Ukiona Mwenzako
Ananyolewa Na Wewe Tia Maji’ – Dogo Janja
0 comments:
Post a Comment