Tuesday, 4 July 2017
Home »
» MAOMBI YA KUJIWEKA WAKFU
MAOMBI YA KUJIWEKA WAKFU
Mnakaribishwa katika maombi ya Kujiweka wakfu kwaajili ya Kongamano kubwa la Maombi ya Shukrani Kitaifa yatakayofanyika katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es Salaam.
Maombi hayo ni Utangulizi au Maandalizi tu ya Maombi ya Kitaifa
Njoo Tujiweke Wakfu
Wooote Mnakaribishwa
0 comments:
Post a Comment