
August 26 2016 shirikisho la soka
barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya
UEFA Europa League, UEFA imepanga Makundi 12 tayari ambapo timu 48
zimepangwa nne nne kwa kila Kundi. KRC Genk ya Ubelgiji
inayochzewa na mtanzani Mbwana Samatta imepangwa Kundi F pamoja na Klabu
ya Athletic Club Bilbao ya Ligi Kuu Hipania.

0 comments:
Post a Comment