Tuesday, 23 August 2016

PICHA ZA JUMBA LA KIFAHARI WANALOHISHI NICK MINAJ NA MEEK MILL

By Yusuph Ally

Mahusiano ya Meek Mill ’29’ na Nicki Minaj ’33’ yanazidi kuwa na nguvu na kwa sasa wawili hawa wamehamia kwenye nyumba moja huko mitaa ya Beverly Hills.
TMZ imethibitisha kuwa Nicki Minaj na Meek Mill wanalipa kodi ya dola $30,000 kwa mwezi ambayo ni kama milioni 70 za bongo.
Nyumba ina vyumba tisa vya kulala,mabafu nane  na eneo la kuegesha magari matano.
1 2 3 5 6 7 8 9 10 11

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive