Home »
» PICHA: WIZKID AKIWA NA WASANII MBALIMBALI WA BONGO JIJINI MWANZA
BY Ally Yusuph
Wakazi wa Mwanza Jumamosi wanakuwa wa kwanza kupata shangwe za Fiesta
huku wakimshuhudia star boy, Wizkid kwa mara ya kwanza. Hizi ni picha
mbalimbali za staa huyo akiwa na wasanii wa Bongo.
0 comments:
Post a Comment