Home »
» MPAKA SASA CHADEMA WANAONEKANA WAMESHINDA HATA WASIPOANDAMANA - EDO KUMWEMBE
BY Hussein Kambona
"Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye
siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana
kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media na public
na imewapa uhai kama Chama....wangeruhusiwa kuendelea kufanya siasa zao
kama zamani leo wasingekuwa katika kurasa za mbele kama
hivi.....wametengenezewa ajenda nzuri ambayo hawakuwa nayo....just
thinking" Edo Kumwembe
0 comments:
Post a Comment