Friday, 26 August 2016

MBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA ADAIWA KUKAMATWA NA POLISI LEO ASUBUHI

BY Denis Massawe

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema(CHADEMA) anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi leo alfajiri na anashikiliwa kituo cha kati.
Sababu za kukamatwa kwake bado hazijawekwa wazi
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive