By Ally Yusph
Hii ni kwa wale wakuu wote waliochoshwa na mziki wa maigizo, Kiki za
kipuuzi, sarakasi, show za play back, video za kucopy na kuungaunga,
show off za kitoto na mziki wa big jii.
Mark the date 25 August mwaka huu, Kingkiba Kuachia Laana Mpya mjini
Original Aje Remix featuring Rapper mahiri kutoka Nigeria M.I, Wimbo huu
ni tofauti by 90% ya ule uliovuja, Video directed by director
Mejialabi, South Africa.
0 comments:
Post a Comment