Kwa mujibu wa TMZ French amepunguziwa zaidi ya dola $150,000 kwenye bei hio.
Selena Gomez ameuza nyumba hio baada ya
kuwa anafuatiliwa na mashabiki wasio jua mipaka kwenye nyumba hio kwa
zaidi ya miaka mitatu sasa.
Nyumbo hio iko kwenye eneo moja ambapo
nyumba ya Khloe Kardashian ipo. French Montana na Khloe Kardashian
walishawahi kuwa wapenzi.
French Montana lina vyumba vitano vya
kulala,mabafu sita, bwawa la kuogelea, chumba cha Wine. Awali Selena
Gomez alitaka dola milioni $4.5 mnsamo November mwaka jana.
0 comments:
Post a Comment