Friday, 22 April 2016

Trailer, Jason Bourne toleo la 5, anarudishwa na mishe gani this time


Jason-Bourne 2
Staa wa filamu za Born Identity ‘Matt Damon’ anarudi tena kwenye filamu hizo kama Jason Bourne July 2016. Matt Damon aliigiza filamu hizi mara ya mwisho kwenye The Bourne Ultimatum mwaka 2007 na toleo la mwaka 2012 la The Bourne Legacy aliigiza  Jeremy Renner.
Toleo la tano la filamu hii linakuja huku staa Tommy Lee Jones akimuelezea Jason kuwa watu wako salama kutokana na mauwaji aliyowahi kufanya.
Jason-Bourne
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive