Home »
» Rapa YG asema anafuatiliwa na polisi baada ya kutoa diss kwa Donald Trump.
Rapa YG kutoka Compton ambaye alitoa diss track kwa mgombea
urais nchini Marekani ‘Donald Trump’ akiwa na msanii Nipsey Hussle
amesema anafuatiliwa na polisi sana kwa sasa.
Wimbo wa YG uliitwa “FDT (F**k Donald Trump)” na anasema “Polisi
wameniuliza kama nimeweka wimbo huu kwenye album yangu,watazuia isiuzwe,
pia wametaka mashairi ya album yangu yote”.
YG anajipanga kutoa album mpya ya Still Krazy .
0 comments:
Post a Comment