Saturday, 2 April 2016
Home »
» Picha,Diamond Platnumz akutana na Awilo Longomba mjini Paris.
Picha,Diamond Platnumz akutana na Awilo Longomba mjini Paris.
Kila msanii mkubwa anapokutana na msanii mwingine mkubwa,inategemewa collabo kali kutoka hapo,well sina uhakika kuhusu hili ila inawezekana kwa asilimia mia moja , Diamond Platnumz na Awilo Longomba kufanya collabo,
Hizi ni picha za mastaa hawa walivyokutana Paris nchini Ufaransa, Diamond, Zari, Awilo Longomba na mtoto wa Diamond ‘Tiffah’.
0 comments:
Post a Comment