Saturday, 2 April 2016
Home »
» Hillary Clinton amtembelea Beyonce kwenye utengenezwaji wa video yake.
Hillary Clinton amtembelea Beyonce kwenye utengenezwaji wa video yake.
Mitandao ya udaku nchini Marekani imeripoti kuwa mgombea wa urais Hillary Clinton amemtemblea Beyoncé kwenye utengenezwaji wa video yake ambayo itakuwa na wazazi wa watoto waliopoteza maisha kwenye mikono ya polisi kama Mama wa Trayvon Martin, Tamir Rice na Mike Brown.
“Beyonce alikuwa anafanya video yake na Hillary akaja bila watu kufahamu” waliandika Us Weekly.
Mpaka sasa msemaji wa Hillary Clinton anasema jambo hilo halijatokea
0 comments:
Post a Comment