Friday, 22 April 2016

Gari Aina Ya Toyota Hiace Lililozama Majini Kivuko cha Kigamboni na Kuua Watu Wawili Lapatikana


Lile Gari Aina ya Toyota Hiace lililozama kwenye bahari kivukoni Kigamboni na kuuwa watu wawili limepatikana na kutolewa majini na wana maji baada ya Jumatano ya April 20 2016 kuzama  ikiwa na watu wa wawili ambao wote walipatikana wakiwa wameshafariki...

Picha likiwa linatolewa majini hii hapa:
Hatimaye kikosi cha ukoaji cha baharini kimefanikiwa kuitoa gari aina ya Hiace ambayo jana ilizama katika bahari ya hindi eneo la Kivukoni na kuua watu wawili
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive