Thursday, 21 April 2016

DJ Quik asema umaarufu wa Kanye umeziki Kipaji chake,hana muziki mzuri..



DJ-Quik-Kanye
Dj Maarufu kutoka Compton ‘Dj Quik’ amesema Kanye West amekuwa muoga wa kutoa album yake kwenye mauzio kushindana na wasanii wengine sababu anaogopa kukalishwa.
Quik pia anasema Umaarufu wa Kanye West ni mkubwa kuliko ubora wa muziki wake, amekuwa mtu wa Kardashian sasa
Quik anafanya interview akitangaza album mpya ya “Rosecrans,” na amesema hii sio diss kwa Kanye West ila ni Changamoto.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive