Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, polisi nchini Marekani wamevamia
nyumba ya Davido iliyopo mjini Atlanta, Georgia wakimtuhumu kuwa ni mtu
anayekusanya na kusafisha pesa za mambo ya kihalifu.
Polisi walifanya hivyo baad aya kuchunguza maisha ya kifahari
anayoishi Davido bila kujua kipato chake kinatoka wapi kwenye eneo hilo
analoishi.
Davido alitumia ukweli kwa kuwaambia yeyeni staa wa muziki kutoka
Nigeria na kuwaonyesha Channel yake ya Youtube inavyotazamwa na zaidi ya
watu milioni 100.
0 comments:
Post a Comment